Social Icons

Jumamosi, 10 Januari 2015

KAZI NDO KWANZA IMEANZA UPYA,MAN UNITED WAKIWA MAZOEZINI.










 KIPA MPYA WA MAN UNITED, VICTOR VALDES ALIYEINGIA MKATABA WA MIEZI 18 AMEANZA KAZI RAMI NA TIMU YAKE HIYO MPYA BAADA YA KUWA AMETAMBA NA BARCELONA KWA KIPINDI KIREFU. PAMOJA NA VALDEZ, KIUNGO DALEY BLIND NAYE AMEREJEA MAZOEZINI NA KUUNGANA NA WENZAKE BAADA YA KUWA MAJERUHI KWA ZAIDI YA WIKI MOJA.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates