Social Icons

Jumapili, 11 Januari 2015

MHESHIMIWA SUGU ALIVYOUMIA BAADA YA KUPATA AJALI JANA KITONGA


MR. SUGU AKIWA HOSPITALI.

Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini,Mh. Joseph Mbilinyi akifanya mawasiliano kwa ndugu na jamaa mara baada ya kupata ajali mbaya na kunusurika kifo,ajali hiyo imetokea eneo la Mlima Kitonga Mkoani Iringa mchana wa leo.kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari kimeeleza kuwa Mh. Mbilinyi alikuwa safarini akitokea Mkoani Mbeya kuelekea jijini Dar akiwa na jamaa zake Wanne katika gari hilo lenye namba za usajili T 148 BQE. katika ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates