Watu tisa wameuawa usiku wa kuamkia leo katika mji mkuu wa Burundi, Bujumbura.
Watu hao ni pamoja na raia wanane na polisi mmoja.Sauti za risasi na milipuko vilisikika sehemu tofauti za mji wa Bujumbura.
Takriban watu 240 wameuwa tangu mwezi Aprili wakati rais Pierre Nkurunziza atangaze kuwa angewania urais kwa muhula wa tatu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni