Papa Msofe (katikati) akishuka ngazi za Mahakama ya Kisutu baada ya kesi kuahirishwa.KESI ya mauaji inayomkabili mfanyabiashara Marijan Abubakar ‘Papa Msofe’ na mwenzake, Makongoro Joseph, imetajwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam na kuahirishwa hadi Oktoba 13 mwaka huu kutokana na uchunguzi kutokamilika.
Israel yamlenga afisa mkuu wa Hamas katika shambulio baya la Gaza
-
Israel ilisema ilimuua kamanda mkuu wa Hamas siku ya Jumamosi katika
shambulio dhidi ya gari ndani mjini Gaza.
Saa 1 iliyopita
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni