Lori la mafuta limekata tela lenye namba za usajili T 172ABT na kupibnduka jioni hii katika makutano ya barabara za Nyerere na Mandela jijini Dar es Saam kwa kile kilichoelezwa na baadhi ya mashuhuda kuwa ni mwendo kasi aliyokuwa nao dereva wa lori hilo aliyekuwa akikata kona akitokea mjini Barabara ya Nyerere kwenda barabara ya Kawawa.
'Tunafikiri bunduki ndiyo inaweza kulinda amani' – Warioba
-
Warioba ameyasema hayo katika mkutano wa siku mbili ulioandaliwa na Kituo
cha Demokrasia Tanzania (TCD), unaojadili hali ya kisiasa nchini Tanzania
baada y...
Dakika 18 zilizopita





Hakuna maoni:
Chapisha Maoni