Ashley Young amefunga ndoa na mpenzi wake ambae walikua pamoja tangu wapo watoto shuleni. Young aliwai kughailisha siku mbili kabla ya harusi yao mwaka 2011.Shemeji yetu anaitwa Nicky Pike unaambiwa wawili hawa hawajaanza kupenda wakati Ashley amekua superstar, mapenzi yao yapo tangu kitambo. Harusi yao imehudhuliwa na watu mbalimbali akiwe Fabrice Muamba.
Vikosi vya Marekani vyashambulia meli za mafuta za Iran; IRGC yatangaza
mashambulio ya kulipiza kisasi
-
Masaa kadhaa baada ya meli tatu za mafuta za Iran kushambuliwa, Jeshi la
Wanamaji la IRGC lilithibitisha kuwa lilifyatua makombora matatu kutoka
Sirik kuel...
Dakika 36 zilizopita
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni